Sunday, 27 October 2013

TB JOSHUA ATABIRI RAISI MMOJA WA AFRIKA MASHARIKI ATATTEKWA NA AL SHABAAB KULIPUA TENA AFRIKA MASHARIKI

Yule Mchungaji Maarufu Afrika na Dunia nzima akiongoza kanisa la Synagogue Church Of All Nations, SCOAN, kutoka Nigeria Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea TB Joshua leo ametoa utabiri mpya ambao unahusisha nchi za Afrika Mashariki.



Mchungaji TB Joshua ameonyeshwa Rais mmoja Afrika Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya.


Ametoa Angalizo akisema ni nchi iliyo KARIBU na Kenya na sio Kenya kulipuliwa tena


Je ni Tanzania???Au ni Uganda...

Tusubiri tuone


Mchungaji TB Joshua amesema ataendelea kumuomba na kumsihi Mungu amuonyeshe ni Raisi wa nchi gani atakayetekwa

WATANZANIA TUOMBE SANA KWA SABABU NCHI YETU KIUSALAMA TUNADHARAU SANA MAMBO, HAKUNA ULINZI WA KUTOSHA KWENYE MIKUSANYIKO YA WATU...KILA KITU NI HOLELA HOLELA TU..WALIANZA KUTUKAGUA MLIMANI CITY LAKINI UKAGUZI ULIDUMU KWA WIKI 1 TU WAMEACHA
MUNGU ATUNUSURU SANA

4 comments:

  1. Kama hutaweza hapa video clip ya utabiri huu, tutachukulia umesema UONGO! Si mara moja blogs kupotosha kwa kutumia jina la TB Joshua

    ReplyDelete
  2. Pia hakusema kuwa Raisi atatokea Africa mashariki alisema hata taja jina la nchi ambayo huyo raisi yupo, ila ya hao jamaa waliotaa kupiga tukio Africa magharibi wameamia Africa mashariki nchi iliyopo karibu sana na Kenya.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. Raisi yeye anamjua ni nani na yupo nchi gani tayari yeye anamjua, hakusema atamsihi Mungu eti amuoneshe huyo raisi ni nani na nchi gan hapana sio kweli. please the writer rewrite this poast again you need to hear with your heart not with your ears. correct it please.

    ReplyDelete