YA DOKTA ULIMBOKA YAJIRUDIA TENA...TANZANIA SI SALAMA TENA
Kabla Watanzania hawajasahau majanga makubwa yaliyowakuta Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Dokta Ulimboka na baadae mwandishi Absalom Kibanda,Kizungumkuti kingine kimeibuka baada ya Dr Sengondo Mvungi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchi na Mhadhiri mwandamizi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo amevamiwa na kujeruhiwa vibaya usiku wa kuamkia leo.
Imeelezwa kuwa, saa saba usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Dr Mvungi alivamiwa na watu wasiyojulikana na kumcharanga mapanga maeneo ya mwilini mwake ikiwemo sehemu za kichwani.
Inadaiwa kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walikuwa wakimshinikiza awapatie fedha na Dk.Mvungi alipowaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga mapanga.
Mtoto mkubwa wa Dk.Mvungi, Dk.Natujwa Mvungi ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo Dar es Salaam,alieleza kuwa mnamo saa nane usiku ndipo walipovamiwa na kumjeruhi vibaya baba yake.
Imeelezwa kuwa, saa saba usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Dr Mvungi alivamiwa na watu wasiyojulikana na kumacharanga mapanga maeneo ya mwilini mwake ikiwemo sehemu za kichwani.
Inadaiwa kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walikuwa wakimshinikiza awapatie fedha na Dk.Mvungi alipowaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga mapanga.
Mtoto mkubwa wa Dk.Mvungi, Dk.Natujwa Mvungi ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo Dar es Salaam,alieleza kuwa mnamo saa nane usiku ndipo walipovamiwa na kumjeruhi vibaya baba yake.
Inadaiwa kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walikuwa wakimshinikiza awapatie fedha na Dk.Mvungi alipowaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga mapanga.
Mtoto mkubwa wa Dk.Mvungi, Dk.Natujwa Mvungi ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo Dar es Salaam,alieleza kuwa mnamo saa nane usiku ndipo walipovamiwa na kumjeruhi vibaya baba yake.
Dk.Natujwa anasema baada ya watu hao kumjeruhi baba yake na kufanikiwa kuondoka, walimchukua na kumkimbiza katika Hospitali ya Tumbi mkoani Pwani, na kupatiwa matibabu ya huduma ya kwanza na kasha walimpeleka katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo alipokelewa Emergence na kisha saa kumi na moja asubuhi aliingizwa kwenye wodi ya Taasisi ya Mifupa Moi kwaajili ya kuanza kupewa matibabu.
No comments:
Post a Comment