DIAMOND ASEMA HATUMII KINGA ANATAKA MTOTO...ANAWAAMINI MADEMU ZAKE
Hii ni kali nyingine kutoka kwa Sukari ya warembo,Diamond Platinumz
Akizungumza kwa njia ya Simu, Diamond amesema imefika muda sasa anatamani sana mtoto na kwa sasa hatumii Kinga anapokutana na Mademu zake
Amesema Mademu zake wanajulikana na yeyote anaweza kumpa mtoto
Ikumbukwe kuwa Diamond amekuwa na mahusiano tofauti na Jack Wolper, Jokate, Penny,Rehema Phabian, na Wema Sepetu ambaye inasemekana wamerudiana rasmi
No comments:
Post a Comment