TAZAMA UNABII WA TB JOSHUA ALIOTABIRI JUMAPILI ULIVYOTIMIA NCHINI UFILIPINO NDANI YA MASAA 24
Jina la TB Joshua sio jina geni tena kwenye Masikio ya Watanzania na Afrika kwa Ujumla
Ni Mchungaji mashuhuri na pengine Mchungaji anayefahamika kuliko wote Afrika kwa Sasa akiwa kiongozi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations nchini Nigeria
Baadhi ya watu wamekuwa wakimuongelea vibaya na wakihisi ni Msanii au anafanya Mazingaombwe lakini kitu pekee kinachomtofautisha na Wachungaji wengine ni uwezo aliojaliwa kuhusu Kuona mambo yajayo ambayo amekuwa akiyaeleza wazi kwenye Ibada zake za Jumapili.
Moja ya Tukio ambalo aliliongela Jumapili hii iliyopita ni hili la Mafuriko Makubwa sana ambayo yataikumba nchi moja ya Bara la Asia na aliwaomba wajiandae kwa balaa hili..
Ndani ya Masaa 24, nchi ya Ufilipino imepigwa na Mafuriko makubwa sana ambayo yameua na kuharibu mali na Miundombinu ya Nchi hiyo kabisa
Tazama Video hii ikimuonyecha Mchungaji TB Joshua akitabiri na Jinsi gani tukio hili limetokea nchini Phillipines...BONYEZA http://www.youtube.com/watch?v=yoJcrqw2frM
Aliisoma kwenye news
ReplyDeletehttp://www.aljazeera.com/weather/2013/11/philippines-face-further-flood-threat-201311591711816314.html
Pumbavu nyie!
Wanasayansi walikuwa wameshasema hilo.
hahaha! Angesema tangu mwaka jana ningemuelewa. Hapo utabiri wa hali ya hewa ulifanyika na wanasayansi.
ReplyDelete