AJALI YA PIKIPIKI YAUA WANAFUNZI WAWILI WA CBE HAPOHAPO
Wanafunzi wawili wa chuo cha biashara CBE Dodoma jana(06/11/2013) majiria ya jioni walipata ajali ya piki piki nje kidogo na mji wa Dodoma ambapo walipoteza uhai papo hapo.
kwa mujibu wa ripota wetu chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo mkali wa chombo hicho cha moto piki piki waliokuwa wamepakizana wanafunzi hao na gafla bila kutegemea walilivaa gari kubwa lililokuwa limaegeshwa pembeni ya bara bara na kusababisha mauti wa wanafunzi hao wawili ambaye ni GEORGE LULANDALA wa ODPS pamoja na RAMADHANI LESSO wa ODMK:
''BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE''
No comments:
Post a Comment